Kigoma-Ujiji Municipal Council, Kigoma Region, Tanzania info@greenshadow.or.tz
Login
EN | SW
Event
Siku ya mtoto wa kike
Mtoto wa kike ana haki ya kupata elimu na kufikia ndoto zake.
The Green Shadow TZ ilishiriki katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike yaliyofanyika tarehe 12 Oktoba katika Manispaa ya Kigoma-Ujiji, baada ya kupata kibali rasmi cha kushiriki. Maadhimisho hayo yalilenga kuhamasisha haki za mtoto wa kike, ikiwemo haki ya kupata elimu, kulindwa na kufikia ndoto zake.
Endelea kufuatilia kazi zetu
Pata taarifa za programu, miradi na matokeo kwa jamii.